Naaam, Habari za mdaa huu,naimani hamjambo,nawakaribisheni katika blogu yenu muipendayo ambayo imekuja kivingine zaidi,ikiwa imejikita zaidi katika ufundi hasa wa COMPUTER na
,Hivyo ni pende kuwaalika tushirikiane katika kutatua matatizo ya hapa na pale baina yako na yangu.Kwani kupitia kwako utajifunza kitu kipya kutoka kwangu na pia mimi binafsi nitajifunza kitu kipya kutoka kwako.Karibuni sana.Lakini pia tunapofanya haya yote tukumbuke kuwa kuna Mungu wetu ambaye ndiye chanzo chetu,Tudumu katika maombi.
PICHA ZIFUATAZO HAPO CHINI ZINAONESHA KWA KIFUPI UFUNDI NA TAALUMA YA UTENGENEZAJI WA COMPUTER.
Pamoja na kuwa ni mafundi pia Tunauza LAPTOPS NEW BRAND,SECOND HANDED,Desktops & Tower aina ya DELL,HP,ACER na TOSHIBA, Bei zetu ni nafuu sana,na amani huwezi kushindwa kuchukua bidhaa zetu,Tupo Mkoani GEITA,Tunaweza kukuhudumia kokote utakako kuwa na mzigo utakufikia.
Kwa mawasiliano yetu namba zetu ziko hapo juu.





No comments:
Post a Comment