MUNGU MKUU

Mawasiliano:
Piga:+255 768 75 58 54
+255 682 89 87 08
Barua pepe:
kagolobai@gmail.com
kagolobai@yahoo.com
Mahali:Tupo Geita

YEREMIA 33:3

Wednesday, September 27, 2017

KARIBU KAGOLOBA COMPUTERS.

Bidhaa kutoka KAGOLOBA COMPUTERS 



Tunapenda kuwakaribisha kwa Huduma bora,We care you.

Wednesday, September 6, 2017

Kwa mara nyingine,KAGOLOBA COMPUTERS inawakaribisha tena kwa mara nyingine kwa huduma mbalimbali ikiwemo:-
1. CCTV Camera Installation.
2.Computer Spareparts
3.Computer Maintanance
4.Wauzaji na Wasambazaji wa Computers

Tuesday, May 26, 2015

MCHENI MUNGU NA KUMTUKUZA,

Sikiliza Audio ya mahubiri juu ya uchaji  wa Mungu wako.

 


Unapooendelea kuutafakari ujumbe huo mkuu,Kumbuka pia,kwa wanaohitaji huduma za:-
    1. Video Production katika makundi yafuatayo hapo chini zinapatikana na si kupatikana tu bali ni kwa ubora wa hali ya juu sana,Nadhani huenda hujawahi shuhudia ubora huo kokote kule.Makundi hayo ni:- 1-Choir Production     2-Movie(HD)   3-Bongo Flavour nk. Bei zetu ni nafuu sana na kwa wakati mwafaka.
    2. Audio production

 TUJULISHE ULIKO TUTAKUFUATA,

Thursday, April 30, 2015

UNABII WA KITABU CHA UFUNUO

Sikiliza na tazama unabii wa kitabu cha Ufunuo kuhusu Miaka 1000.
















Kitabu cha ufunuo ni kitabu kilichojaa UNABII wa siku za mwisho.Nakusihi kwa neema ya Mungu kukisoma kitabu hicho kwa kina sana ili ufahamu mambo ya kiunabii.

Wednesday, April 29, 2015

Tuesday, April 28, 2015

KWA MAFUNDI WENZANGU,

Naaam, Habari za mdaa huu,naimani hamjambo,nawakaribisheni katika blogu yenu muipendayo ambayo imekuja kivingine zaidi,ikiwa imejikita zaidi katika ufundi hasa wa COMPUTER na